PageNavi Results No.

Christian Bella CHAKU ft Alikiba lyrics

Christian Bella CHAKU ft Alikiba lyrics
Tunkule Lombe
Mwananyawe Lombe
Chaku la Kalele
Mwana ritoto
Tunkule Lombe
Mwananyawe Lombe
Chaku la Kalele
Mwana ritoto

[Verse 1]
Chaku chaku mama
oooooo ooooo
Chaku chaku beibe
ooooo oooooo
Chaku chaku mama
oooooo ooooo
Chaku chaku sweety
Nakupenda sana

Chaku nogire mwana
Umerithi uzuri wa mama
Hilo jicho ukinitazamaaa
Chaku wewee
Hata sina moto la ujana
Kwako nimetulizana
Umepata bonge la bwanaa
Chaku wewee

Asa posa naleta
Niruke Mabega
Kizungu nacheda
Kwako nadeka
Asa posa naleta
Niruke Mabega
Kizungu nacheda
Kwako nadeka

Tunkule Lombe
Mwananyawe Lombe
Chaku la Kalele
Mwana ritoto
Tunkule Lombe
Mwananyawe Lombe
Chaku la Kalele
Mwana ritoto

[Verse 2]
Nafsi na sura tabia
Ata mama kakusifia
Kuwa na wewe
Chaku wewee
Na moyo kigota kalia
Utakacho ntakupatia
Wewe ndo ma queeni
Wa dunia

Na nimezama mazima
Ngebe kauli sina
Isikutishe jina ujanja sina
Ni kweli ujanja sina
Mimi ni kwako koro (koro)
Binadamu hakosi kasoro( kasoro)
Isikutishe jina ujanja sina
Ukweli ujanja sina

My sherry
Oyebinalinga kayoo
Kachantima ozawangawali bella
My sherry
Oyebinalinga kayoo
Na mutema ozawangawali bella

Asa posa naleta
Niruke Mabega
Kizungu nacheda
Kwako nadeka
Asa posa naleta
Niruke Mabega
Kizungu nacheda
Kwako nadeka

Tunkule Lombe
Mwananyawe Lombe
Chaku la Kalele
Mwana ritoto
Tunkule Lombe
Mwananyawe Lombe
Chaku la Kalele
Mwana ritoto

[Verse 3]
Ale cheki kijitoto
Anacheza anajikuna
Ona Johni Chibambo
Anajikuna
Sasa na wewe jikune
Jikune jikune jikune

Sukuma sukuma sukuma Sukuma
Sukuma sukuma Sukuma sukuma sukuma
Aaa aaa sukuma ndani
Peleka ndani
Sekelea ndani
Gongelea ndani

Christian Bella CHAKU ft Alikiba lyrics Christian Bella CHAKU ft Alikiba lyrics Reviewed by hitsloaded on December 20, 2019 Rating: 5

No comments:

Do Not Spam

Powered by Blogger.